Wirwana Association for Empowerment and Development - WAENDELEE ni asasi isiyo ya kiserikali iliyopo Mkoani Singida ambayo inawezesha shughuli za mbalimbali na miradi ya kuboresha kipato cha jamii katika Nyanja za Mazingira, Elimu, Afya na Maji Wilayani Singida ikiwemo kata za Mrama, Mtinko na Ngimu zilizopo Wilayani Singida.